Ngonjera: Hakuna Anayejali
Hakuna anayejali
Siku
yetu ni moja, jua letu ni moja
na
hata ardhi ni moja…..
Wote
tunazaliwa na tunakufa pia…..
Lakini
jiulize je, ni kwanini tutofautiane katika kuyaishi maisha…..
Kwanini
wengine waishi maisha ya ndoto zao na
wengine wasiyaishi…
Wapo
waliobahatika kuwa na furaha……
Wao
huishi vile wanataka
Kuanzia
kula… kuvaaa.. kulala.
.na
hata kunywa…
Furaha
na raha ni sehemu ya maisha yao.
Nani
wakujali maisha anayoishi mtu huyu…
mtu
ambaye anasifa za kufika mahali fulani lakini hana refa wala sapport ya
kumfanya afikie ndoto zake…
Umasikini
umeleta matabaka
kiasi
kwamba hata wanaouishi hawapendani… hawana umoja…….
Wanaolewa
hovyo…. Ni masikini…
Wanaologana
… ni masikini….
Wanaosengenyanya
ni masikina
Wanaofanyiana
hila na choyo ni masikini
Hivi
kwa nini?
Maoni