Shairi: Unakumbuka ?
Unakumbuka?
Unakumbuka
eee…..
Kipindi
kile unadate nae…..
Unakumbuka
eee…
Kipindi
kile umeziteka hisia zake…
Ukamfanya
apoteze hamu ya kula kisa wewe…
Usingizi
asiupate kisa wewe….
Unakumbuka
lakini…..
Kipindi
kile mwenzio alipoyatoa maisha yake kwa ajili yako….
yeye
alipojinyima ili wewe upate…
Unakumbuka…..
Lakini
leo hauko naye tena…..
Nikukumbushe
kitu….
Unakumbuka
kipindi kile mlipokuwa mkitoka out
Mkienda
garden
Mara
ufukweni….
Mkiwa
barabarani..
mlifurahi na kucheka sana….
Mlifikia
hatua mkawa kama machizi vile machoni mwa watu.
Ila
mlipendeza sana.
Unazikumbuka
kweli hizo moment…..
Masikini….
leo hauko naye tena.
Mhhh
aaaaaaa…….
Hivi
unakumbuka kipindi kile mnachati usiku kucha ….
eeee
….. eti mnaongea na simu masaa 10 mhhh….
Mara
utasikia kata weweeee bhanaaa
Mhh
mhhm takiii kata wewe….
Ka
watoto vile
Ha
ha ha ha ha ha ha
Aiseee…
Vp
unakumbuka kweli hizo moment…….
Mhhhh
pol…e naona leo hauko naye tena mtu huyo.
Nani
kama yeye…
Alokupa
penzi kiasi cha kuchanganyikiwa huku mkiahidiana mengi…
Lakini
leo hauko nae tena….
Naona
kuna wakati unatamani ukutane naye….
Lakini
ndo haiwezekani tena……
Mhhhh
au yupo kwenye ndoa yake….?
Lakini
hata kama atakuwa single
Bado
hataweza kurudiana na wewe…
Unajuwa
kwa nini……
Kumbuka
vizuriii….
Mhh
unakumbuka vizuri…
Maskini….
Zile
moment ulipokuwa ukimsubilisha nje akipigwa na baridi kali na husitokee….
Zile
moment ulipokuwa ukimchatisha huku ukifanya ufuska.
Umesahau….
Zile
moment… alipokufuma na danga mkipeana vitu….
usitake
kuniambia eti umesahau kila kitu.
Hata
kipindi kile uliposahaui viatu
baada
ya kukimbizwa na watu
ukitumia
mali ya mtu
hukumbuki
tu….
Aaa
basi wewe mkorofi ….
Lakini
pouwa so kesi….
Kiburi
Dharau
Masimango…
Na
hata ukazidisha uongo…
Lakini
hatimaye leo hauko nae tena.
Naelewa
utakuwa umemiss sana zile moment….
Ukicheza
na kuimba mbele yake…..
Tena
kwa furaha na shangwe
Daaa
aisee pole sana…
Najuwa
kwa sasa atakuwa na wake ampendae….
Vp
wewe mahusiano yako kwa sasa.
Je,
yameimarika…
Au ndo kwanza unaangaika na kujenga ukuta.
Hahahaha……..
Pole
sana…..
mnakuwa
wazuri katika kuwaumiza wengine
mnasahau
kuwa maumivu ni yale yale
Na
ikitokea mmeumizwa mnajitia kuumia sana.
Hivi
mnajikuta kina nani nyie….
Ukizitaka
raha kwa kumsababishia karaha kwa aliye
na furaha
Basi
nawe tarajia jeraha
Kwa
maana
tamaa
ni sawa na donda lilotunga usaha
hivyo chunga usilete mzaha
likaja kukuletea balaa.
Maoni