Ushairi : Unakumbuka ?
Kalamu Ya Urithi Unakumbuka? Unakumbuka eee….. Kipindi kile unadate nae….. Unakumbuka eee… Kipindi kile umeziteka hisia zake… Ukamfanya apoteze hamu ya kula kisa wewe… Usingizi asiupate kisa wewe…. Unakumbuka lakini... Kipindi kile mwenzio alipoyatoa maisha yake kwa ajili yako…. yeye alipojinyima ili wewe upate… Unakumbuka….. Lakini leo hauko naye tena….. Nikukumbushe kitu…. Unakumbuka kipindi kile mlipokuwa mkitoka out Mkienda garden Mara ufukweni…. Mkiwa barabarani.. mlifurahi na kucheka sana…. Mlifikia hatua mkawa kama machizi vile machoni mwa watu. Ila mlipendeza sana. Unazikumbuka kweli hizo moment….. Masikini…. leo hauko naye tena. Mhhh aaaaaaa……. Hivi unakumbuka kipindi kile mnachati usiku kucha …. eeee ….. eti mnaongea na simu masaa 10 mhhh…. Mara utasikia kata weweeee bhanaaa Mhh mhhm takiii kata wewe…. Ka watoto vile Ha ha ha ha ha ha ha Aiseee… Vp unakumbuka kweli hizo moment…...