Shairi: Nakupenda
Kwa urembo
ulionao sijawahi kukutana nao
Maana kila
napopita nakutana na story zako
Wewe ni
mrembo…….
Kama kupenda
ni kosa basi wewe ndiye unayestahili hukumu hii….
Maana Si
mimi chanzo bali ni huo uzuri wako…
Jiulize…
…. Ni
marangapi nimekuwa nikiteseka ili kukupata wewe.
Na leo hii umekuwa wangu.
Do You know
why wakati flani nakuwa mkali
Coz..
Naogopa
kuchanganywa..
Naogopa sana
kuibiwa….
Mwenzio
naoogopa kuumizwa
Mpenzi wangu
nakupenda sana.
Naaaa ….
kila siku kwangu ni maalumu na muhimu
Hasa napokuwa na wewe…
Wewe ni
zaidi ya mwangaza wa jua…
Nuru iliyo
na thamani kwa maisha ya viumbe
Nadhani hili
unalitambua.
Hivyo pasina
wewe mimi si kitu hapa duniani
laazizi…
Kuna wakati
huwa najiuliza kwanini unafeet kwenye
vazi la kila rangi
Basi
nimekuja kugundua kuwa ni kwa sababu nakupenda sana.
Ni upofu wa
aina gani huu nisiweze hata kukutoa kasoro juu ya huo uzuri wako.
Kiumbe
uliyehumbika kwa rangi na sura
hakika wewe
ndiye yangu furaha.
Tazama huo
muondoko
Tazama hiyo
mideko..
Pua na hiyo
midomo..
Nani kama
wewe au hata wa kukuzidi
Naimani
hakuna….
Si kwa
Ucheshi wako….
Ukalimu kwa
ndugu zangu….
Na hata watu
wanaotuzunguka
Mwandani
wangu…
Uhai wangu
ni wewe….
Furaha yangu
ni wewe…
Wewe ndo
kila kitu kwangu
Nakili kwa
kinywa kuwa nimeumbwa kukutumikia wewe…
Wewe ndo
hatima yangu…
Kamwe
sitokubali nikuache nyuma.
Kwa chozi
lako nitalia
Kwa huzuni
yako nitaumia pia
Kwenye
hatali nitakukimbilia
kwa yeyote
nitamshambulia
Na si furaha
yako kukuharibia.
Hata hivyo..
Siwezi
kuianza siku yangu mpya bila wewe
Bila kukuona
Bila
kuisikia walau sauti yako.
Mahabuba….
Fundi wa
haya mahaba
Kiumbe pekee
mwenye kunilisha nikashiba
Usiye juwa
roho wala iba
Ama kwa
hakika moyo wangu umeubeba…….
Takuwa
mnafiki nisipo kushukuru
Ahante kwa
kunifanya kuwa huru
Asante kwa
penzi hili lenye nuru
Asante kwa
kunihepushia misururu
maisha ya
kuishi kama kunguru
Na leo mimi
si waluwalu.
na Kilimboka
Maoni